13 Sept 2010


Hii ndiyo Bunda ya Dk. Slaa

Leo tuko Bunda. Acha picha hizi ziseme zenyewe. Maelezo mengine
baadaye. Itoshe tu kusema kwamba miongoni mwa maelfu ya wana Bunda waliofurika kumsikiliza Dk. Slaa katika viwanja vya Sabasaba ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Francis Isack. Alikaa jukwaa moja na Dk. Slaa, naye alimsifu kwa ukomavu wa kisiasa, lakini akamuonya kwamba kama alikuwa amekwenda pale kwa nia tofauti, atazame umma, apime nguvu yake na apeleke taarifa za kile anachosikia na kuona. Alimsimamisha DC huyo akawasalimia wananchi kwa kunyosha mikono juu.

Picha na Habari kwa Hisani ya NGURUMO

1 comment:

  1. Thanks kwa kutupa taharifa za rais mtarajiwa. Yaani sasa hivi tz watu tumedata hatuambiwi kitu. Mimi hapa nilipo ni mdada msomi (PhD candidate chuo fulani) si mwanachama wa chama chochote cha siasa kwani nilikuwa sijaona bado. Lakini mwaka huu kura yangu kwa Slaa. Na niko tayari kuchangia kampeni tuwatokomeze hawa wezi wetu. I am so concerned with my kids life kwani watakuta hawa mchwa wametafuna kila kitu.

    ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.