6 Oct 2010

Kwa hisani ya SUBI

1 comment:

  1. JK amekwenda kuwahutubia walimu mkoani Ruvuma kwamba atatekeleza na kutatua matatizo yote ya walimu...Je alikuwa wapi kitpindi cha huko kutatua hayo matatizo na kwa timu ipi ya viongozi alikuwa nao ambao wanaweza kutekeleza hizo ahadi zake...

    Amesahau wakati wafanyakazi walipodai ongezo la mshahara badala ya kuongea na wafanyakazi alihamua kuwaita wazee misheni town pale Dar na kutoa hotuba ya kashfa, majivuno na kejeli kwa wafanyakazi.

    Na iwapo hao walimu watampigia kura JK katika mbio zake za urais basi nitaamini kwamba walimu na wafanyakazi wote umma na sekta binafsi wengine wote wanafurahia shida na karaha wanazopata katika malipo yao mishahara kiduchu na mazingira kufanyia kazi kwa ujumla

    ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.