3 Nov 2010Habari za kuthibitisha kutoka Urban Pulse zinathibitisha kuwa Msanii Diamond tayari katua Ndani ya UK tayari kwa ajili ya kukamua show ya Urban Tour kwa ajili ya kuchangia kupigana vita dhidi ya Malaria. Show yake ya kwanza itafanyika katika Mji wa Milton keynes Jumamosi hii tarehe 6.11.10 ndani Ya Club OPUSPRICE  

Price £10.00 BEFORE MIDNIGHT MORE AFTER
VIP £20.00

WOTE MWAKARIBISHWA,

URBAN PULSE CREATIVE MEDIA

Promo

0 comments:

Post a Comment

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.