17 Nov 2010


TANGAZO MAALUMUtawala na wafanyakazi wa URBAN PULSE wakishirikiana na Tanzania Community Europe wanapenda kuwatangazia washabiki wote wa Diamond UK na watu wote wanao support kampeni ya vita na Malaria ya kuwa kuna mabadiliko ya lazima yaliyotokea kuhusu show ya Diamond ya tarehe 27 November Birmingham. Kwamba kutokana na idadi kubwa ya watu wanaotegemea kujitokeza siku hiyo imebidi ukumbi ubadilishwe ili uweze kukidhi idadi yao,Kwa hiyo jambo hili limepelekea ulazimu wa kubadilisha kumbi kwenda

27 November 2010
116 GAR GOSFORD STREET
PALMS BAR
COVENTRY
CV1 5 EA


Mabadiliko haya ni ya lazima na tunaomba radhi kwa ufumbufu wowote utakojitokeza

WOTE MNAKARIBISHWA

Utawala
URBAN PULSE


0 comments:

Post a Comment

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.