5 Jan 2011


Kwa niaba ya wasomaji wapendwa wa blogu hii,na kwa niaba ya familia ya Chahali (na vijimatawi vyake),naomba kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa rafiki yangu wa karibu na bloga mahiri Haki Ngowi.Licha ya urafiki na ushirikiano wetu kwenye fani ya kublogu,Haki ni mdau mwenzangu kwenye michakato flani (partner-in-crime).

HAPPY BIRTHDAY MKURUGENZI

2 comments:

  1. ha haaaa kumbe tumezaliwa mwezi na tarehe moja hongera na mwenzangu kwa siku ya kuzaliwa uwe na siku njema.....

    ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.