13 Jan 2011

MSIBA WA MASHUJAA WALIOUAWA KWA AMRI YA DIKTETA JAKAYA KIKWETE

 SARAFINA THE FUNERAL SONGPICHA NA VIDEO KWA HISANI KUBWA YA MTANDAO NAMBARI WANI Jamii Forums.KWA HABARI KAMILI SOMA HAPA.

4 comments:

 1. shukurani kwa picha. inasikitisha kuacha familia wakiwa kwa mauaji kutoka vyombo vya dola, lakini pia inatia moyo kumbe watu hawajaogopa wameamka wengi kuwasindikiza hao mashujaa waliolala,Mungu ndio mtoaji faraja

  ReplyDelete
 2. Ningependa wananchi wa Arusha wamzomee siku atakapokanyaga hiyo ardhi iliyomwaga damu ya raia wasio na hatia.

  ReplyDelete
 3. CCM wasahau kabisa Arusha for many years to come. Hili jimbo halifai hata-kuchakachua maana unaweza kutolewa roho.I hope upinzani will take this opportunity kuleta maendeleo ya kweli, na ku-involve wananchi wawe part of the development process. Peoples power!!!!!

  ReplyDelete
 4. PEOPLES POWER WAZALENDO, TUSISAHAU KUONGEZA HIZI PICHA TUNAPOENDA KUONANA NA MABALOZI, MP'S N.K, UHAI HAUTOKI TU, NA UNAPOTOKA BILA HATIA, TENA KIUBABE JAMANI!? NA MAANDAMANO YOTE HAYO BILA POLISI, KUNA HATA PANYA ALIYEUWAWA HAPO?

  ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.

Podcast

Chaneli Ya YouTube