20 Jun 2011Inapendeza kuona wadau wakiungana nasi kwenye fani ya kublogu.Na mdau mwenzetu mpya katika fani hii ni mwanadada Rachel,Mtanzania mwenye makazi yake jijini London hapa Uingereza.Blogu yake iliyoanzisha mwezi huu wa Juni inafahamika kama MY PERSPECTIVE (yaani "mtazamo wake" kwa lugha ya taifa) na dhima yake kuu ni mahusiano (relationships),uwiano wa kijinsia (gender balance), maisha (life) na uongozi (leadership).

Blogu hiyo inapatikana katika anwani hii http://miandmyworld.blogspot.com/


0 comments:

Post a comment

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2020

Powered by Blogger.

Jiunge na Jarida La UJASUSI

Jiunge na BARUA YA CHAHALI