12 Sept 2011


6 comments:

 1. Watanzania tusidanyanyike na Chama cha Mafisadi kwa sababu wanatudanganya tu hakuna ki2 .......wanachofanya....wanahonga wali then wanapotea ......Igunga kulen wali .....ILA KULA WANYIMENI

  ReplyDelete
 2. kaka chahali.....naheshimu sana kazi zako za uandishi....ila kwahili nahisi umekosea

  nikweli magamba wanafanya kila wawezalo huko igunga ila kutumia picha isiyo na uhalisia juu ya tukio hilo ni jambo la kudhalilisha taaluma yako ya uandishi.....

  Picha ya kwanza ni imepigwa morogoro na si igunga na tena ilikuwa ni mashindano ya kula .....verify it here http://issamichuzi.blogspot.com/2011/07/mashindano-ya-kula-yafana-sana-mkoani.html

  chonde ni heri kutoa habari bila picha kuliko kucopy and paste picha za matukio mawili tofauti....

  ningefurahi kama utalitolea ufafanuzi jambo hili....

  Regards,
  KM
  mdau ninayefatilia kazizako twitter,facebook na kwenye hii blog yetu tukufu

  ReplyDelete
 3. Ndugu yangu KM,kwanza nashukuru sana kwa kufuatilia maandiko yangu.Pili,nashukuru kwa comment yako.Chanzo cha picha na habari husika kilikuwa Jamii Forums (kama nilivyobainisha kwenye habari husika).Hata hivyo,naomba kukuhakikishia kuwa nitaangalia hiyo link uliyonipatia (na ninashukuru sana kwa hilo) kisha nitafanya marekebisho stahili.Naomba usichoke kunishauri,kunikosoa au kunipatia mchango wowote ule,nami naahidi nitaufanyia kazi.Kwa mara nyingine tena,ninasema asante sana.

  ReplyDelete
 4. Nionavyo,kama ungeliweza kuiondoa hii picha ingesaidia sana maana watu wengi hawasomi comment hence wataishia kuamini kuwa picha hiyo ndivyo hali ilivyo.

  Niwie radhi kama ntakuwa nimeingelia kazi yako.

  ReplyDelete
 5. Huo mjadala wa kuchakachua picha unaakisi kwa usahihi jinsi ambayo chadema wamegubikwa na viongozi na wapenzi walio wavivu wa kufikiri. Unajua ndugu zangu ni kweli CCM ina mapungufu mengi ila hatuoni mbadala kwani fikiria mtu kama huyo anayedanganya mchana ili mradi kukidhi haja yake ya kuonmesha kuwa CDAHEMA NI bora ukimpa uongozi hata wa kitongoji nchi itafika wapi? ndi maana watanzania wengi wanawashabikia lakini hawawaamini, mfano tazama tofauti ya kura 177 kata ya igunga mjini ambapo CCM wameshindwa kwa kiwango hicho na linganisha na umati uliokuwa unahudhuria mikutano ya chadema, kama s mvivu wa kufikiri unapata ujumbe kirahisi

  ReplyDelete
 6. hongera KM kwa jiyo link ya mashindano ya kula ambayo imewekwa hapo (inawezekana) kwa makusudi kufanya subjective pitilics/ diiscussion. ni watu wachache hapa Tanzania ambao wana tazama mambo objectively bula kuruhusu ushabiki. umenifurahisha hasa na hiyo 'evidence informed ' approach. umemwambia 'you ca verify here....... Shida ya watanzania wengi wana ushabiki wa vyama vya siasa badala ya kuitazama Tanzania. Na huwezi kuaitazama Tanzania kama moyonoi au kichwani kuna chama cha siasa....nimependa approach yako

  ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.