19 May 2012Timu ya soka ya watoto ya Biafra Kids inashiriki katikamichuano ya soka ya watoto wenye umri wa chini ya miaka 17 kanda ya Kinondoni.
WADOGO ZETU HAWA WANAOMBA MSAADA WA HALI NA MALI KUWAWEZESHA WAFANIKIWE KATIKA NDOTO ZAO KISOKA.UNAWEZA KUANZA KWA KUWATEMBELEA KWENYE UKURASA WAO WA Google+ UNAOPATIKANA KATIKA ANUANI IFUATAYO 0 comments:

Post a Comment

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.

Podcast

Chaneli Ya YouTube