![]() |
| Baada ya miaka 44,Manchester City ni mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya England |
![]() |
| GOOOOOAL: Bao la tatu na la ubingwa kutoka kwa Muajentina Sergio Aguero |
![]() |
| Kama ndoto vile,wakati kila mshabiki akidhani Man City wamepoteza nafasi ya kutwaa ubingwa,Aguero akapachika bao la tatu |
![]() |
| Aguero,ambaye ni mkwe wa gwiji la soka duniani Diego Maradona,akiwa amevua jezi kushangilia bao lililopatikana muda wa nyongeza na lililoipa ubingwa Man City baada ya kusubiri miaka 44 |
![]() |
| Mario Balotelli na Edin Dzeko wakimkimbilia Aguero kumpongeza kwa kufunga bao la tatu |
![]() |
| Wachezaji wa Man City wakimzonga Aguero baada ya kufunga bao la tatu lililowapa ubingwa |
![]() |
| Kocha Mtaliano Roberto Mancini akiwa na kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya England |
![]() |
| Nahodha Vincent Kompany akiwa na kombe |
![]() |
| Uhasama kando: Mancini na Carlos Tevez wakiteta huku wameshikilia kombe |
![]() |
| Shabiki mkubwa wa Man City,mwanamuziki mkongwe Liam Ghallagher (ex-Osias) akisherehekea |
![]() |
| Furaha isiyoelezeka |
![]() |
| Shangwe kubwa |
![]() |
| Furaha tupu |
![]() |
| Furaha kubwa ya kutwaa ubingwa baada ya kusubiri kwa miaka 44 |
![]() |
| Kocha wa Man City Roberto Mancini akifurahi na wachezaji wake |
![]() |
| Kipa wa Man City Joe Hart akiwa amembeba mchezaji mwenzie David Silva |
![]() |
| Kocha wa Man United Sir Alex Ferguson akiwa haamini macho na masikio yake kuwa timu yake imepoteza ubingwa kwa wapinzani wao wa Manchester City |
![]() |
| Wachezaji waManchester United wakipokea habari za ushindi wa Manchester City kwa bumbuwazi |
Chanzo: Daily Mail


















0 comments:
Post a Comment