Naomba kuwasilisha ujumbe husika kama nilivyotumiwa. Ukishasoma, usikose kutahadharisha na mwenzako. Kwa kufanya hivyo sio tu itaepusha watu kuingia kwenye mtego wa tapeli huyo lakini pia itasaidia kuwezesha atiwe nguvuni
@Chahali kaka naomba usaidie ufikishe ujumbe sehemu usiku naona kuna utapeli unaendelea huko Facebook pic.twitter.com/NfCdYySnnD— aida Bernard (@aida_Bentley) July 24, 2016
0 comments:
Post a Comment