28 Aug 2010
13 Jul 2010
13.7.10
Evarist Chahali
FUNNY STUFFS
1 comment
3 Nov 2009
3.11.09
Evarist Chahali
FUNNY STUFFS
No comments
13 Oct 2009
8 Oct 2009
8.10.09
Evarist Chahali
FUNNY STUFFS
No comments

Mambo mengine huku Ughaibuni ni vituko vitupu.Kuna watu wanafuga majoka makubwa na kuyalea kama watoto wao,kuna wanaofuga panya mithili ya paka,na wengine wamegeuza tumbili kuwa watoto wa kambo.Na matunzo wanayopewa mbwa na paka hayatofautiani sana na anasa wanazofaidi watoto wa wabaka-uchumi wetu (mafisadi).
Sasa imeibuka fasheni mpya ya “kitimoto pimbi”,yaani nguruwe wadogo kupindukia.
10 Jul 2009
10.7.09
Evarist Chahali
FUNNY STUFFS
No comments
23 Jun 2009
Dunia haina dogo.Kuna wambeya wanaodai eti huyo "nzi" alikuwa ni skadi lililotumwa na Dick Cheney kwa Obama.Kuna wengine wanadai huyo wala hakuwa "nzi" bali roboti lilotengenezwa na majasusi wa Kimarekani kupeleka ujumbe kwa Kim Jong Ill na mikwara yake ya nyuklia.Wapo wanaomhusisha "nzi" huyo na uchaguzi wa Irani..... Alimradi burudani!
ELEKEZO: Neno "nzi" limetumika kama tafsiri isiyo rasmi ya "fly" (BAKITA mko wapi?)
22 May 2009
15 May 2009
Pombe bwana!Huyu si "shoga",ni mwanaume ila tu kinywaji kimemkolea kaamua atinge gauni.Na sijui hiyo pozi kajifunzia wapi!
Huyu "Beyonce Mweupe" anaonyesha ufundi wa kunengua.
Hao si watoto wa shule,na huo "upole" ni sehemu ya kinywaji pia!
"Kwanini Mungu aliwapendelea ng'ombe kuwa na miguu minne na sie wanadamu miguu miwili?"Yaelekea ndio "malalamiko ya muungwana huyo anayetambaa.Au anakumbukia alivyokuwa akitambaa wakati wa utoto?Katika pombe,lolote linawezekana!
Kilio tena!?
Pombe huwafanya wanyonge wajione majabali,only kinywaji kinapoyeyuka kichwani hujikuta wakiwa wanyonge vilevile PLUS majeraha.
"Yes!Nimeweza.Si mlisema siwezi kulibalansi hilo boksi la take-away eti nimelewa?Mbona nimeweza.Watu tumeanza pombe zamani,in fact kabla ya kunyonya maziwa ya mama...teh teh teh"
"Basi nikwambie shoga,mwaka 1978 nili....halafu kabla ya hapo mwaka 1749 nilikuwa....na mwaka huu 2004 nita....".Stori za kilevi hazihitaji kuwa makini na tarehe au muda.Na zinaweza kuendelea milele.Kimsingi huwa haziishi,na mada hubadilika kama bendera na upepo.
" Nahisi kama niko 'leba' mtoto najifungua.Hee nimezaa mtoto wa kiume".Si ajabu huyu akiamka asubuhi anamaizi kuwa kweli "alizaa" lakini mtoto ni "pooh" (ile kitu inayotupeleka msalani).
Duh.Hapa ni ujenzi wa mahekalu hewani
Huyu ashukuru ufanisi wa polisi wa doria wanaosaidiwa na CCTV.Ukaaji huo mitaa ya uswahilini ingeweza kumfanya huyo jamaa kwa siku kadhaa asitoke nyumbani kutokana na aibu.Ni mkao hatari sana!
Hoi!
Ah,nani kasema kitanda lazima kiwe chumbani.Hapa napata 'nepu' ya bure buleshi.
" Hee hawa vipi tena?",dada wa kushoto haamini anachokiona."Ahaaa,ndio mana wanaume wa kiskotishi wanapenda hizo kilt zao wanapokwenda out..." Anazidi kutafakari mdada wa watu.
"Kuanzia leo mto wangu utakuwa tairi..."Chapombe afanya uvumbuzi usiku wa manane.
Huy kibonge sijui anatoa nasaha gani kwa wenzake.Pombe huleta "busara" za ajabu kabisa.3 May 2009

TABIA SUGU ZA WANACHUO1.Hupenda kwenda baa na kumbi za starehe kuliko Lecture na Semina.2.Hushinda room kuliko Library.3.Hufahamu mitindo ya mavazi kuliko Module.4.Huogopa CARRY,SUP na DISCO kuliko dhambi.5.Hufahamu waziri wa mikopo kuliko wahadhiri.6.Huudhulia birthdays,harusi na starehe weekend kuliko Ibada.7.Hutoa zawadi kubwa kwa boyfriend au girlfriend kuliko kwa yatima na wajane.8.Hulinda ATM Cards na PENZI kuliko DESA na VITABU.9.Wapo makini na ratiba ya BOOM kuliko UE.10.Wanapenda haki ila wanakosa mbinu sahihi ya kuzipigania.






