
Pichani juu ni dada SOPHIA RWANGA mara baada ya kukamata nondo yake ya MSc in Geospatial Information Systems hapo University of Aberdeen.Picha zifuatazo hapo chini ni shamrashamra za mahafali hayo katika chuo hiki kilichoanzishwa mwaka 1495,the third oldest in Scotland,and the fifth oldest in the UK.