Makala hii maalum ya sauti inazungumzia kitabu changu kuhusu taaluma ya uafisa usalama wa taifa (ushushushu) ambacho sasa kinapatikana katika nakala dhahiri (hard copy). Makala hii inaeleza kuhusu nini kilichonisukuma kuandika kitabu hiki na pia inaeleza kwa undani yaliyomo kitabuni.
Check this out on Chirbit
HELLO BW CHAHALI
ReplyDeleteMIMI NIMESOMA KITABU CHAKO CHOTE , BAADA YA KUKINUNUA MTANDAONI (KBUUK),LAKINI WAONAJE KAMA UNGEKUA NA AUDIO BOOK AMABPO HATA MWENYE SHUGULI INGINE ANAWEZA KUSIKILIZA AKIWA ANAFANYA JAMBO JINGINE, TAFADHALI UKIONA YAFAA HAILO TAFADHALI LIFANYIE KAZI.