11 Aug 2016

Makala hii maalum ya sauti inazungumzia kitabu changu kuhusu taaluma ya uafisa usalama wa taifa (ushushushu) ambacho sasa kinapatikana katika nakala dhahiri (hard copy). Makala hii inaeleza kuhusu nini kilichonisukuma kuandika kitabu hiki na pia inaeleza kwa undani yaliyomo kitabuni.
Check this out on Chirbit

1 comment:

  1. HELLO BW CHAHALI
    MIMI NIMESOMA KITABU CHAKO CHOTE , BAADA YA KUKINUNUA MTANDAONI (KBUUK),LAKINI WAONAJE KAMA UNGEKUA NA AUDIO BOOK AMABPO HATA MWENYE SHUGULI INGINE ANAWEZA KUSIKILIZA AKIWA ANAFANYA JAMBO JINGINE, TAFADHALI UKIONA YAFAA HAILO TAFADHALI LIFANYIE KAZI.

    ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.

Podcast

Chaneli Ya YouTube