6 Dec 2007

KUFUATIA SKANDALI ZA MICHANGO KWA VYAMA VYA SIASA HAPA UINGEREZA,MAKALA YANGU WIKI HII NDANI YA GAZETI LA MTANZANIA INAHOJI KUHUSU MICHANGO YA AINA HIYO HUKO NYUMBANI NA WIMBI LA WAFANYABIASHARA NA WASOMI KUKIMBILIA KWENYE SIASA.BINGIRIKA NAYO HAPA


PIA USIKOSE KUSOMA GAZETI MAHIRI KABISA LILILOSHEHENI HABARI NA UCHAMBUZI WA KINA,GAZETI LA RAIA MWEMA .MAKALA YANGU NDANI YA GAZETI HILO INAHUSU "MTAMBO WA TAKUKURU KUNASA SAUTI NA PICHA ZA WANAODAI RUSHWA ZA NGONO".JE HILI NI "CHANGA LA MACHO" OR SOMETHING FOR REAL?ZAIDI NI HAPA

1 comment:

  1. Habari ndugu chahali. Nimepita kwako naona unapigana ile mbaya kutupasha habari Hongera sana. Karibu upitie kwangu www.rsmiruko.blogspot.com

    ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.