8 Mar 2008

Mzimu wa uhuru wa Kosovo unaendelea kuisumbua Serbia na sasa serikali yake imesambaratika kutokana na tofauti za kimsimamo kati ya Waziri Mkuu,Vojislav Kostunica mwenye mtizamo wa kitaifa (nationalist) na Rais Boris Tadic mwenye mtizamo wa kimagharibi zaidi.Habari zaidi,soma HAPA.

PIA KUNA HABARI MOJA IMENIGUSA SANA KUHUSU BIASHARA YA "UNGA" KATIKA NCHI YA GUINEA BISSAU.UNAWEZA KUISOMA HAPA0 comments:

Post a Comment

Categories

Blog Archive

© Evarist Philemon Chahali 2006-2018

Powered by Blogger.

Download "Chahali Blog ANDROID App"