18 Sept 2008

Ustaadh mmoja mwenye msimamo mkali huko Saudi Arabia ametoa fatwa dhidi ya kikatuni-kipanya Mickey Mouse,akidai kuwa "kipanya" huyo ni askari wa shetani.Huu sio utani,BONYEZA HAPA kusoma habari hiyo ya kuchekesha.

0 comments:

Post a Comment

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.