11 Oct 2008The next Vice President of the United States,John McCain!?(Tena kwenye mkutano wa kampeni kwa ajili ya Joe Biden!?) Pengine sio kosa lake kwani huyo jamaa,Jim Pacillo, aliyechemsha katika kum-introduce Biden,amepata ridandansi kazini kwake hivi karibuni (pengine kichwa hakijatulia vizuri),na pia ni ,mfuasi wa Republican lakini anayewasapoti Obama na Biden ( ukibadili dini inachukua muda kutofautisha padri au shehe).

0 comments:

Post a Comment

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.

Podcast

Chaneli Ya YouTube