
30 Oct 2008
30.10.08
Evarist Chahali
ODD STUFFS
1 comment
Bosi mmoja wa kampuni ya ujenzi aliamua kutumia nyenzo zake za kazi kulipiza kisasi kwa jamaa aliyempora mpenzi wake.Alipopata nafasi mwafaka ya kulipa kisasi akachukua greda/kijiko na kwenda kupondaponda gari ya "mwizi" wake (hiyo hapo pichani chini).BEWARE!

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
duu hii kali aise haya mambo yanaweza kutawanya kila kiungo cha mwili kwa sekunde. mapenzi jambo la ajabu sana sijui inakuwaje mambo haya
ReplyDelete