8 Oct 2008

Hawa TANESCO vipi?Kwanza walitangaza mgao wa umeme wa takriban masaa matano kwa siku kabla ya kuongeza muda na kuwa takriban masaa kumi kwa siku.Siku chache baadaye wakatangaza kuisha kwa mgao huo,lakini kwa mujibu wa gazeti la Tanzania Daima,mgao umerejea tena.Ubabaishaji wa aina hii utaendelea hadi lini?

1 comment:

  1. Kikwete amesema hili tatizo litakuwa histori hivi karibuni.Sitashangaa ikiwa ni kastori tu :-(

    ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.