10 Oct 2010Muda maalum kabisa utakuwa hapo saa 4 na dakika kumi na sekunde kumi,ambapo saa na tarehe itakuwa 10.10.10 10.10.10.Tukio hili ni la nadra kupita kiasi na litajiri tena baada ya miaka 100,yaani karne nzima kutoka sasa

2 comments:

  1. NA HII NDIO INAMAANISHA MABADILIKO! BADILISHA MWELEKEO WAKO WA MAISHA,BADILISHA MAISHA YA WATU WANAOKUZUNGUKA,BADILISHA MAISHA YA ASIYE KUWA NA UWEZO KAMA UMEJALIWA KIDOGO,BADILISHA VIONGOZI AMBAO HAWABADILIKI! UONGO KILA SIKU! BADILISHA SERIKALI YAKO KAMA HAIELEWEKI,BADILISHA MKEO KAMA NI KERO KILA SIKU,BADILISHA MUMEO KAMA UNAMUONA AKILI YAKE HAIPO NYUMBANI TENA,BADILISHA KAZI KAMA UNAONA HUIFURAHII,BADILISHA ULAJI WAKO KAMA UNAKITAMBI AU LIMWILI LILILO JAA MAFUTA,BADILISHA MAVAZI UONEKANE MPYA,BADILISHA DINI YAKO KAMA UNAONA HAIELEWEKI, USIOGOPE KWAKUWA ETI TOKA MABABU ZETU WALIKUWA WAKRISTO/WAISLAM!! JIULIZE KUNA HAJA YA KUENDELEA KUABUDU KAYESU KAKIZUNGU WAKATI SISI NI WAAFRIKA! AU KUKARIRI KIARABU WAKATI TUPO MADRASA! HUONI KAMA KUNA UMUHIMU WA KUANGALIA HIZI IMANI NGENI ZINATUSAIDIAJE KUTOKA KATIKA HUU UTUMWA MAMBO LEO?? BADILIKA... LA SIVYO UTAENDELEA HIVYO MPAKA MIAKA 100 IJAYO KAMA UTABARIKIWA KUISHI. CHANGE WAZALENDO

    ReplyDelete
  2. Hadi sasa hakuna hata mmoja wao kati mwaarabu au Mzungu aliyekuja kuomba msamaha kwa Waafrika kwa matendo kikatili yaliyofanyika katika biashara ya utumwa na dini hizo ndizo zilitumika kiasi kikubwa kuwalainisha babu zetu, matoke yake wakoloni wakawa watalawa, na pia mpaka hivi sasa wanaendelea kwa kufanya hujuma kupitia mlango wa nyuma kwenye nchi zote zenye madini hadimu duniani kwa kisingizio kuita uwekezaji

    ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.