6 Nov 2010Picha zote hapo juu ni za mtu mmoja.Alipanda ndege huko Hong Kong akiwa "kibabu" na kuteremka Kanada akiwa kijana.Actually,huyu ni kijana halisi lakini alijivika kinyago na kuonekana kikongwe,lengo lake likiwa kuingia nchini Kanada kuomba ukimbizi.


1 comment:

Categories

Blog Archive

© Evarist Philemon Chahali 2006-2018

Powered by Blogger.

Download "Chahali Blog ANDROID App"