2 Mar 2011

Makala yangu katika toleo la wiki hii la jarida mahiri la habari na uchambuzi la Raia Mwema inazungumzia ombwe la uongozi wa Kikwete,na namna ombwe hilo linavyojidhihirisha katika namna tukio la milipuko ya mambomu huko Gongo la Mboto linavyoshughulikiwa.

 BONYEZA HAPA KUSOMA MAKALA HIYO pamoja na habari na makala nyingine zilizokwenda shule.

2 comments:

  1. I am afraid Kikwete does not know where he came from and where is going. Sikuhizi ameishia kulalamika tu hana jipya. Watanzania hawataki mtu wakulialia wanataka solutions. Muda wakuchekacheka umeisha,If you can not stand the heat get out of the kitchen Mr. President.

    ReplyDelete
  2. Kikwete kaishiwa sera kama ilivyo kwa wenzake Makamba na Chiligati. Sera zake kwa sasa ni kueneza uongo wa udini na amani ili kuziba matundu ya uongozi wake dhaifu. Lakini watanzania si wajinga kama anavyofikiria watadanganyika na propaganda zake zisizo na tija.

    ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.

Podcast

Chaneli Ya YouTube