22 Apr 2011


Makala yangu katika toleo la wiki hii la jarida mahiri la Raia Mwema inazungumzia suala lililokamata hisia za Watanzania wengi kwa sasa la CCM kujivua magamba.Makala hiyo inachambua chanzo cha magamba hayo na namna inavyomwia vigumu Mwenyekiti wa CCM,Rais Kikwete kufanikisha azma yake ya kukisafisha chama hicho (if at all ana azma hiyo).

Jarida hilo pia limesheni makala nyingine moto moto,sambamba na habari za uhakika ikiwa ni pamoja na zile zinazohusu ufisadi mpya wa "Stimulus Package".Zaidi,BONYEZA HAPA KUSOMA MAKALA HIYO na HAPA kusoma jarida zima.

1 comment:

 1. Nje ya tundu:

  Pasaka njema Mkuu!


  Nje ya tundu zaidi:

  Mie kijiwe hiki na mambo zako nayazimia kinoma KWELI kama hujastuki MKUU!

  Ila kiadoado ukidondosha sentensi kwangu kwenye UjingaBUSARA siku mojamoja ANGALAU MARA MOJA ningejisikia vizuri kweli yani!:-(

  ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.