2 Apr 2011


Bwana Alitoa,Bwana Ametwaa.Jina lake lihimidiwe milele.
Sie tulimpenda Adam-hasa kwa makala zake zilizosheheni ufundi mkubwa "wa kuchezea lugha ya Kiingereza" huku akifikisha ujumbe mzito.Lakini sie ni nani zaidi ya Muumba?Yeye Alimpenda Adamu zaidi yetu,na sasa ameamua kumrejesha katika makazi yake ya milele.Adamu ametangulia,na sisi sote tupo njiani.

Pumziko la Milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie,astarehe kwa amani,Amina

2 comments:

  1. He was a great Writer, I have read alot of Articles, I love how he could put humour to a writing. Inasikitisha Sana tukipoteza waandishi kama hawa.. Res In Peace

    ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.