6 Apr 2011
Nathamini sana ubunifu.Na mmoja wa vijana wabunifu wenye vipaji vya kupigiwa mstari ni Michael Carter Mlingwa,au maarufu kama Mxcarter.Mie napendelea kumuita Mr Carter (as in Shawn Carter,yaani Jay-Z).Bonyeza bango hilo hapo juu kutembelea tovuti hiyo,na naamini utakubaliana nami kuwa kijana huyu anajituma vilivyo kuendeleza fani mbalimbali za sanaa mtandaoni.

Unaweza pia kum-join Twitter @twitter.com/mxcarter (au bonyeza picha ifuatayo)au kutembelea ukurasa wake wa Facebook unaopatikana kwa kubonyeza picha ifuatayoTovuti hii iko mbioni kufanya mahojiano na Mxcarter,na yatarushwa hapa pindi yatapokamilika.Yote hiyo ni kuenzi vipaji vya Tanzania yetu.

0 comments:

Post a Comment

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.