25 May 2011


Hatimaye tovuti hii imeamua kushiriki kuwania tuzo za blogu za Kitanzania zijulikanazo kama TANZANIAN BLOGS AWARDS.

Blogu hii inawania tuzo kwenye kundi la BLOGU BORA YA SIASA au kwa kimombo BEST POLITICAL BLOG.

Kisha jaza kama ifuatavyo (nimeweka picha za vipengele vilivyopo kwenye fomu ya kuchagulia blogu uipendayo

Hapa wanahitaji jina la mwandishi wa blogu.Kwahiyo kama unaona Kulikoni Ughaibuni inastahili basi jina linalotakiwa hapa chini  ni EVARIST CHAHALI


Hapa chini wanahitaji jina la makazi.Makazi yangu ni GLASGOW, SCOTLANDHapa chini wanahitaji jina la blogu.Kama ujuavyo,blogu hii inaitwa KULIKONI UGHAIBUNI

Hapa chini wanahitaji anuani ya blogu unayotaka kuichagua.Anuani ya tovuti hii ni www.chahali.comHapa wanakupa fursa ya kuchagua ni kundi gani unadhani blogu uipendayo inastahili tuzo.Tovuti hii inaomba kura yako katika kundi la blogu za siasa,yaani hapo chini walipoandika BEST POLITICAL BLOG.Weka tiki hapo kwenye kipengele cha 19


Hapa wanauliza kama blogu uliyoipigia kura ina "mambo ya kiutu uzima/ngono".Na kama unavyofahamu,huo ni mwiko kwa tovuti hii.Kwahiyo,kama unaona tovuti hii inastahili tuzo,tiki hapo kwenye NO


Malizia kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa SUBMIT


NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI

2 comments:

  1. NAKUTAKIA KILA LA HERI MY DEAR,, AND WHY NOT YOU ? KEEP UP THE GOOD WORK NA PAMOJAAA..STAY BLESS ALWAYS.

    ReplyDelete
  2. ASANTE SANA FLORA.PAMOJA AND STAY BLESSED

    ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.

Podcast

Chaneli Ya YouTube