27 Jun 2011

 Pichani juu ni mwanamuziki mahiri kutoka nchini Jamaika,Shaggy,akisimikwa uchifu wa kabila la Wasukuma.Picha ya chini ni wasanii wawili mahiri kabisa wa Kitanzania,Profesa Jay na MwanaFa "wakikamua" (kama wanasemavyo watoto wa mjini).Na picha ya mwisho chini ni wasanii hao wakiwa na msanii mwingine mahiri Chid Benz.Swali la kichokozi: kwa kumpa Shaggy uchifu badala ya wasanii wetu wa ndani,haimaanishi kasumba ya kuthamini mno vya nje kuliko vya ndani?Nishasema ni swali la kichokozi,nothing serious anyway.And dont get me wrong,I like Shaggy,who I rate as one of the most down-to-earth celebrities.


Mwalimu wangu Profesa Matondo unasemaje kuhusu hili?Na MwanaFA una lolote la kuchangia?

3 comments:

  1. Mwehh kazi ipo,kisa chakumpachika uchifu?

    ReplyDelete
  2. Hiyo inaonyesha wazi tulivyo malimbukeni wa kutupwa. Eti madai yao ataenda kutangaza utamaduni wa TZ kweli?? Hawajui hawa watu wakoje wamerakani (ingawa ni Mjamaika)wanafanya tu kukuridhisha akitoka hapo anakuachia mweyewe. Kwa ufupi hajali as long as amepewa chake. Tuache kuabudu watu wa nje,,tuna watu kibao ambao wanafaa kupewa vyeo hivyo.

    ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.

Podcast

Chaneli Ya YouTube