23 Feb 2013
Salamu Wadau,

Nauza kiwanja jijini Dar es salaam, Kinondoni B mkabala na BIAFRA
Kuna nyumba ya kawaida ya vyumba vitatu, eneo lina ukubwa wa
320 square metre, nyumba iliyopo inafaa kwa matumizi (lakini haiko katika
viwango vya juu ni ya kawaida sana)

Mpangaji ameshapewa notes ya kuondoka mwezi May 2013.

Natafuta mnunuzi au dalali kunisaidia kuuza (kama unamjua dalali nijulisha
namba yake au mjulishe ). Bei 80 milion, document zipo na hakuna migogoro
Email: [email protected] , 0717 521 379

Asante

0 comments:

Post a Comment

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.

Podcast

Chaneli Ya YouTube