Kamanda Kova wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam akimwonyesha askari trafiki feki (picha kamili hapo chini) aliyekamatwa mapema wiki hii 'akila vichwa.' Tatizo hili linazidi kuwa sugu kama ambavyo baadhi ya picha na habari hapa chini zinavyoonyesha















0 comments:
Post a Comment