12 Oct 2014

bbb The Gatekeeper ni filamu (documentary) inayoeleza kuhusu shirika la ushushusu wa ndani wa Israel, Shin Bet (au Shabak kwa Kiyahudi) kutoka kwa mtizamo wa wakuu sita wa zamani wa shirika hilo (pichani juu) kwa njia ya mahojiano.


 

Endelea kutembelea blogu hii kwa habari mbalimbali, ikiwa ni pamoja na hizo zinazohusu ushushushu (bonyeza kwenye menu INTELIJENSIA kwenda moja kwa moja). Kuhusu makala ya 'Shushushu ni nani? Anafanya kazi gani?' ninaahidi kuiendeleza katika siku chache zijazo. Ninaomba samahani kwa kuichelewesha.

1 comment:

  1. Ni documentary nzuri sana!
    Hii kazi sio yakutamani kabisa ultimate risky!
    Ukitaka kujua madhira yake soma na kitabu cha Gordon Thomas Gideon Spy!

    ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.

Podcast

Chaneli Ya YouTube