11 Apr 2015
11.4.15
Evarist Chahali
No comments
Rais Barack Obama wa Marekani akipeana mkono na Rais Raul Castro wa Cuba, walipokutana katika mkutano wa nchi za Americas jijini Panama City, Panama.
Tukio hili ni la kihistoria kufuatia uhasama mkubwa kati ya nchi hizo mbili.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment