30 Jul 2016


Kwa rafiki zangu huko Facebook, nadhani mwakumbuka stori moja niliyowasimulia kitambo kuhusu rafiki yangu mmoja, Mtanzania, ambaye kitaalua ni mfamasia, lakini ameamua kuweka kando taaluma hiyo na kujikita katika kilimo.

Baadhi ya marafiki zangu waliomba mawasiliano nae, na takriban wote walinipa mrejesho kuwa wamevutiwa sana na jitihada za @d33dat, ambaye binafsi ninamchukulia kuwa ndio mwasisi wa falsafa ya "Kilimo kama Ajira."

Angalia mahojiano mafupi kati yake na kipindi cha Dira ya Dunia cha BBC Swahili yaliyofanyika jana Ijumaa Julai 29, 2016.0 comments:

Post a Comment

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.

Podcast

Chaneli Ya YouTube