Showing posts with label APRIL FOOL'S DAY HOAX. Show all posts
Showing posts with label APRIL FOOL'S DAY HOAX. Show all posts

1 Apr 2014

Rais Kikwete akihutubia mamia ya Watanzania wanaoishi hapa Uingereza
Baada ya sokomoko lilodumu kwa siku kadhaa sasa kuhusu mchakato wa kupata Katiba mpya, hatimaye Rais Jakaya Kikwete ametangza kulivunja Bunge hilo akibainisha kwamba ni vigumu kwa mazingira yaliyopo kufikiwa mwafaka wowote ule, sambamba na dhamira ya kuokoa fedha za umma.

Rais aliyasema hayo alipoongea na Watanzania wanaoishi hapa Uingereza, ambapo yupo kwa ziara ya kidola ya siku tatu. Kwa maelezo kamili bofya HAPA

1 Apr 2009HABARI HII NI KWA MUJIBU WA VYANZO VYA UHAKIKA HUKO NYUMBANI (BONYEZA HAPA)

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.