Nawazungumzia wahafidhina.Wanafikiri siku zote wao wako sahihi,lakini licha ya fikra hizo mufilisi,wanataka ku-
monopolize haki ya kuwa
on the right of the political spectrum.And for that matter,
Jeremiah Wright,yule livewire cleric wa
Barack Obama yuko
wrong ilhali
right-wing lunatics like Bill O'Reilly,
Sean Hannity,
Ann Coulter,
Rush Limbaugh,ambao wanasifika kwa maneno machafu kupita kiasi,
siku zote wako sahihi...
according to them.
Anyway,that's politics.Soma
makala hii kuhusu uhusiano wa
Obama na
Rev Wright.