
Nawazungumzia wahafidhina.Wanafikiri siku zote wao wako sahihi,lakini licha ya fikra hizo mufilisi,wanataka ku-monopolize haki ya kuwa on the right of the political spectrum.And for that matter,Jeremiah Wright,yule livewire cleric wa Barack Obama yuko wrong ilhali right-wing lunatics like Bill O'Reilly, Sean Hannity,Ann Coulter,Rush Limbaugh,ambao wanasifika kwa maneno machafu kupita kiasi,siku zote wako sahihi...according to them.Anyway,that's politics.Soma makala hii kuhusu uhusiano wa Obama na Rev Wright.