#Update: As Death Toll Rises To 4 as Another Police Officer and Private Security Guard Confirmed Dead, Tanzania’s Police Chief Simon Sirro “Hints Incident Could Be Terrorist-Related.” https://t.co/amAZgsbKQx
— Jasusi (@Chahali) August 25, 2021
Uchambuzi wa kiintelijensia:
Dhana za awali
#Mrejesho kuhusu tukio la jana ambapo mtu mmoja aliwaua polisi watatu na mlinzi mmoja karibu na uballozi wa Ufaransa jijini Dar, kabla ya yeye kuuawa. Kuna dhana kuu nne, ambazo ninaziita
— Jasusi (@Chahali) August 26, 2021
👉Dhana ya kisasi
👉Dhana na mwendawazimu
👉Dhana na "gendaeka"
👉Dhana ya kuhalalisha https://t.co/6gS1nHUNFU
Bila kujali mpangilio, "dhana ya kisasi" inahusu maelezo yaliyotawala zaidi kwenye mitandao ya kijamii kuwa mhusika aliporwa madini na polisi, na akaamua kulipa kisasi. Huenda inaeleza kwanini aliwalenga polisi tu na si raia wa kawaida https://t.co/yZQV7SpJcL
— Jasusi (@Chahali) August 26, 2021
"Dhana ya mwendawazimu" ni kwamba mhusika alikuwa na matatizo ya akili, na akaamua kufanya mauaji hayo. Hata hivyo, udhaifu wa dhana hii ni kwamba kama kweli alikuwa na matatizo ya akili, kwanini awalenge polisi tu na sio watu wengine? https://t.co/hnvwXcQXG1
— Jasusi (@Chahali) August 26, 2021
"Dhana ya gendaeka" (gendaeka = simba dume anaetembea peke yake) ni ya kitaalamu zaidi , na ina sapoti ya kauli ya IGP Sirro kuwa "tuna watu wetu (JWTZ) huko Msumbiji. Kama ni kweli, je alikuwa pekee? Pia kwanini Ubalozi wa Ufaransa? Kama mchambuzi kinda wa ugaidi, najikita hapa https://t.co/5B5PxTcdv2
— Jasusi (@Chahali) August 26, 2021
Mwisho ni "dhana ya kuhalalisha" inayohusiana na mashraka ya ugaidi dhidi ya m/kiti wa @ChademaTz Mh @freemanmbowetz kwamba suala zima limetengenezwa kuhalalisha mashtaka hayo. Kwa bahati mbaya, jeshi la polisi (@tanpol) lina rekodi mbaya ya kubambikia watu kesi/kuzua matukio https://t.co/vCRS0Quyw6
— Jasusi (@Chahali) August 26, 2021
Dhana zilizosalia
#Update: At least 2 of these theories, namely "The Vengeance theory"+"The Lone Wolf theory" could now be confirmed as FACTS. Hamza, as seen on video below was
— Jasusi (@Chahali) August 28, 2021
👉 Radicalised
👉 Had personal grievances vs @tanpol
Both facts confirmed by top terrorism expert & ex-spy @Jasminechic00 https://t.co/vCRS0Quyw6 pic.twitter.com/LLZ9q5ngqK