
- Tumia vitamini vya Zinc na Folic Acid
- Punguza kunywa soda
Meza vitamini vya Amino Acid vya aina hizi: L-Arginine, L-Lysine na L-Carnitin - Jaribu 'vidonge vya asili' viitavyo Horny Goat Weed
- Kula matunda na mbogamboga (hasa maharage mekundu, maji ya nazi, apples, wild blueberries, blackberry, cranberry)
Chua misuli ya 'sehemu yako ya siri' pasipo kufikia 'kileleni'
- Punguza na hatimaye acha kuvuta sigara (na bangi ni adui mkubwa wa mbegu za kiume)
- Punguza msongo wa mawazo (stress)
- Fanya mazoezi mara kwa mara
- Zingatia ngono salama (maradhi ya zinaa yanaathiri vibaya uzalishaji mbegu za kiume)