1 Apr 2010

Katika hali isiyotarajiwa,Baba Mtakatifu Benediktini wa 16 ametangaza kujiuzulu wadhifa huo kufuatia tuhuma zinazoliandama Kanisa Katoliki kuhusu kashfa za ngono na ulawiti. Uzushi tu wala hajajiuzulu.Leo ni Siku ya Wajinga Duniani.Je wewe ni miongoni mwao (at least kwa leo)?

3 comments:

 1. sasa itakuwaje jamani na huyu ndiye kiongozi wa juu katika kanisa hili.


  disminder.

  ReplyDelete
 2. Happy fools day!!Hahaaaa!!

  ReplyDelete
 3. Lol Disminder.
  Pole kwako. Umeangalia "label"?

  ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Philemon Chahali 2006-2018

Powered by Blogger.

Download "Chahali Blog ANDROID App"