11 Mar 2008Kufuatia Gavana wa New York,Elliot Spitzer,au "Client 9", kukumbwa na skandali la kujihusisha na makahaba,The Huffington Post wametoa wanachokiita (kwa tafsiri yangu) Mwongozo wa Kutumia Huduma ya Makahaba (Prostitution:A User's Manual).Soma Mwongozo huo HAPA (you never know when it might become handy!)

0 comments:

Post a Comment

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2020

Powered by Blogger.

Nisapoti

Podcast

Chaneli Ya YouTube