
Kwa mujibu wa habari katika toleo la wiki hii la gazeti mahiri la Raia Mwema,Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) huko nyumbani
alishatoa kibali cha kuwafungulia mashataka mafisadi lakini hadi sasa hakuna kinachoendelea.Kwa habari hiyo pamoja na nyingine na makala motomoto
GONGA HAPA kusoma gazeti hilo mwanana.
0 comments:
Post a Comment