7 May 2009

PENGINE KUNA CHA ZIADA KINACHONIFANYA NISIAMINI MACHO YANGU KUONA JACOB ZUMA NDIO HIVYOOO ANAELEKEA KUKABIDHIWA URAIS WA AFRIKA KUSINI.NCHI ZA MAGHARIBI ZINAFUATILIA KWA KARIBU YANAYOENDELEA HUKO SAUZI,LAKINI HOFU YA WENGI NI KUWA HUENDA ZUMA NI POPULIST FLANI AMBAYE AMEFANIKIWA SANA KUKONGA NYOYO ZA WENGI NCHINI HUMO LAKINI ANAYEWEZA PIA KULIINGIZA TAIFA HILO TAJIRI MATATIZONI.BINAFSI HUWA SINA IMANI YA KUTOSHA NA WANASIASA WANAOSHINDWA KUONYESHA UDILIFU KWENYE NDOA ZAO KISHA UWATARAJIE WAWE WAADILIFU KWA TAIFA.INAELEKEA WASAUZI WAMELIPUUZA HILO.

2 comments:

  1. Mie yangu macho tu!Huyu jamaa kaahidi mpaka basi , sasa tusubiri akianza kushindwa kutimiza atachukua hatua gani!

    Ila jamaa wanakuambia ndiye Mwanasiasa Afrika ambaye hauwezi kuchoka hotuba zake.

    Hakawii kukata hotuba akawaimbieni na kucheza muziki unaoingizwa katikati ya hotuba, halafu akarudisha hotuba kuhusu kutetea yeye anafuata mila za Kiafrika ndio maana anawake wengi na inabidi atesti nje kidogo ilikujua Kimwana gani mwingine anafaa kuoa.


    Ila jamaa namsifu kwa kujifunza mwenyewe kusoma mpaka kuchezea akili za waliosoma a.k.a wasomi.
    Kazi ipo!

    ReplyDelete
  2. Si utani ndugu yangu.Uongozi Afrika ni vituko juu ya vituko

    ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.