Shukuru Kawambwa
1995-2005: University of Dar es Salaam Senior Lecturer & Development Engineer
1990-1993: PhD Candidate (Engineering) - Surrey University
1989-1995: University of Dar es Salaam Development Engineer
1984-1989: University of Dar es Salaam Assistant Development Engineer
1983-1984: Postgraduate Student - MSc Engineering - Reading University
1982-1984: University of Dar es Salaam Tutorial Assistant - Dept of Engineering
1978-1982: University of Dar es Salaam Undergraduate Student - BSc Engineering
25 Sept 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Huyu ni mtumwa wa kujitakia hataka kama ana PhD. Kuna wakati mwingine usomi hauondoi upumbavu wa mtu. Kuna haja ya kuanza kuhoji uwezo wake wa kufikiri isiwe ni yale makasuku yaliyokariri tu. Hata kama ni usanii ni wa kipumbavu. Hamkumuona bwana mazingaombwe mkuu akikaa kwenye mavumbi jambo ambalo wajinga wengi eti wameshangaa wakati alitoka huko huko? Kujidhalilisha hivi ni ushahidi wa CCM kuishiwa kila wizara hadi wakatumia mbinu mfu na chafu. Kazi ni kwa wapiga kura wapumbavu ambao kila kitu kimewekwa mbele machoni mwao kumpa kura ili awale.
ReplyDeleteWas he also begging to earn his PhD in the same manner and fashion? I would not have dared to do the same!
ReplyDeleteHiyo maana yake kwamba huyu bwnaa yeye anavyeti alivyofuzu kiwango cha PHD lakini hana maarifa binafsi kuendeleza upeo wake wa kufikiria, kimsingi ni kwamba hatufai, na hatuhuitaji wasomi wa namna na hii...
ReplyDeleteNilidhani ukisoma unajihamini lkn kumbe ni kinyume ukiingia kwenye siasa, Maisha gani hayo ya kuomba kura huku umepiga magoti.
ReplyDeleteNa kama ni unyenyekevu basi aendelee hivyo hivyo akishinda bunge.