BABA BABA BABA HUYO BABA BABA BABA BABA BABA HUYO...TUMBA TUMBA TUMBA TUMBA HILO TUMBA TUMBA HILO TUMBA TUMBA HILO...KIKWETE HOYEEEE...NILISEMA WALA RUSHWA NAWAJUA KAMA WAPIGA TUMBA ILA NAWAPA MUDA WA KUJIREKEBISHA...AKINA CHAHALI WANAOHOJI KUHUSU DEADLINE KWANINI HAWAHOJI PIA KUHUSU DEADLINE YA KUJIFUNZA KUPIGA TUMBA? (ACTUALLY,NIKIREJEA IKULU NTAMSHTAKI HUYU KIJANA HUKO KIBEREGE KWA MZEE MAGU%^&£$%^) |
NIMEISHIWA NA AHADI SASA.NGOJA NIJARIBU HII: NAWAAHIDI WATANZANIA KUWA MKINICHAGUA TENA NITAHAKIKISHA KILA MTANZANIA ATAKUWA NA TUMBA YAKE NYUMBANI AMBAYO UKIPIGA TU UNAPATA MAISHA BORA...SI NILIWAAMBIA KUWA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA YANAWEZEKANA? |
UFISADI OYEEE,TUMBA OYEEEE |
MIE NI ZAIDI YA MORIS NYUNYUSA.ACTUALLY,ZILE NGOMA ZA ULE WIMBO WA TAARIFA YA HABARI YA RADIO TANZANIA NI KAZI YANGU.MCD (BADO YUPO TWANGA?) NA ALI JAMWAKA AJIRA YENU MASHAKANI. |
HUYU ZUMA ANATAKA KULETA HABARI ZA VUVUZELA,HAJUI KAMA MIE MTOTO WA MJINI.AI NEMA NEMA,AI NEMAA AAA,AI NEMA NEMA USIPONEMA LEO UTANEMA LINI |
NEMA MWANANGU NEMA |
SITAKI WATANZANIA WANIKUMBUKE KWA EPA,KAGODA NA RICHMOND PEKEE.NATAKA PIA WAELEWE KUWA MIE MIE KWA KUYARUDI NDIO MWENYE,IWE ENZI ZA NZAWISA,MAYENU AU HATA MSONDO....SHALO SHALO TINA TINA,YAANI SHAA MTU MZIMA (HEHEHEEE NGWEA NA JAY MO MPO?HATA MIE BONGOFLAVA NAZIJUA PIA.SI MNAWAONA WANABONGOFLEVA KWENYE KAMPENI ZANGU?) |
UWEZEKANO WA JAKAYA KIKWETE KUMALIZIA MAUMIVU YAKE YA KUBWAGWA NA DOKTA SLAA (KAMA HAWATACHAKUACHUA KURA) KWENYE UALIMU KATIKA CHUO CHA SANAA BAGAMOYO NI MKUBWA (HOME BOY COMES BACK HOME....DON'T FORGET KIKWETE NI MKWERE).TUSICHOWEZA KUWA NA UHAKIKA NACHO NI WHETHER ATAKUWA MWALIMU WA KUPIGA NGOMA (TUMBA) AU DANSI STUFFS HE FANCIES KAMA PICHA ZA HAPO JUU ZINAVYOONYESHA
HAPPY RETIREMENT MR SOON-TO-BE EX-PRESIDENT
Hongera mubashiri Chahali...pongezi kwa kumtakia Rais wetu ustaafu ulio mzuri..lakiniiii....mbona hujamtumia mfalme wako Slaa pongezi za awali za kuingia"Ikulu"?? Hakika ndoto ni ndoto..sasa umeishiwa kila kitu unakuja na kejeli za alinacha na alfu lela ulela?
ReplyDeleteLaiza kumbe wewe umetumwa kuja badilisha malengo ya blog ya Chahali na wazalendo weningine hapa siyo!!!!!!!!???
ReplyDeleteNimekufuatilia sana maoni yako ni kishabiki zaidi kuliko uzito wake. Na pia kumbuka huyu Bwana Chahali anapoweka maoni yako hapa mtandaoni ni ili kuonyesha safari tuliyokuwa nayo sisi wazalendo wa kweli wa Taifa letu tunalolipenda la Tanzania kwamba CCM kwa kukaa kwake madarakani miaka zaidi ya hamsini ilichoweza kutengeza mtu kama wewe laiza.
Ambaye haufahamu maana serikali mbaya na mbovu katika utendaji na madhara yake katika jamii. CCM sio mbaya isipokuwa ina Viongozi wabovu na wabinafsi na wapo tayari kuvunja sheria ili kubarikia wahalifu mifano halisi ipo na pia unaifahamu fika.
Msijibizane na huyu changudoa wa maadili ajiitaye Laiza. Hawa wako wengi. Wanatumiwa na Kikwete kuchafua watu ili hapo baadaye awape ulaji kama alivyofanya kwa Salva Rweyemamu. Hivi sasa ofisi za CCM wilaya na makao makuu ofisi ndogo ya Lumumba zimegeuzwa dampo ya wachumia tumbo wanaoandika kila upuuzi ili kumfurahisha Kikwete. Wanaweza kufanya lolote hata akitaka wamrambe matako ilmradi awape ukuu wa wilaya.
ReplyDeleteSimshangai Laiza na wale wote hasa waandishi waliogeuka wafua nepi za CCM. Ila tumjuavyo Kikwete akishamaliza kazi yake atawaruka kama alivyowafanyia kina Prince Bagenda na Dk Gideon Shoo. We ngoja tu. Kesho wakishalizwa utawasikia wakilalamika kama machizi tokana na kufikiri kwa kutumia matumbo. Kikwete amerejea asili yake ya kupiga ngoma kama ilivyowahi kudaiwa na wakazi wa Msoga wanaomjua tangu utotoni ambapo alisifika kupiga ngoma kama Makamba bingwa wa kujikomba.
ETI AMEISHIWA!! UNAJUA JAMANI UMEFIKA ULE MUDA WA WANAOUNGUA ACHA WAUNGUE, JAMAA HANA HATA UFAHAMU NINI KINAENDELEA BONGO! WATU WANAPOTEZA MAISHA YAO KILA KUKICHA KWA SABABU AMBAZO SERIKALI HII YA CCM INGESHATATUA MIAKA MINGI, MASHULENI WATOTO BADO WAPO CHINI VUMBINI, MAHELA YETU YA MADINI NDIO USISEME!! UFISADI NDIO UWIII! SASA LEO HII TUNAMUONA HUYU JAMAA KIKWETE ANATUZUGA NA TUMBA NA MAYENO? COMMON PEOPLE!! LIFE SIO MCHEZO WA KUIGIZA JAMA!! WANAWAKE WANAKUFA KWA HUDUMA MBOVU! WATOTO WETU WANAKUA KIBAHATI BAHATI TU! ALAFU LEO UNASHUHUDIA RAISI ANAYARUDI MAGOMA? ANAFURAHIA NINI SASA HAPO? AU KUMFURAHISHA NANI? MWANANCHI ALIYEDHULUMIWA NA KUKAMULIWA HAKI YAKE TO THE END?? ALAFU MDAU HAPO JUU UNASEMA MWANAMAPINDUZI WETU AMEISHIWA? AKILI ZAKO NUSU KABISA, NYIE NDIO WALE MTAJIKUTA SIKU ZA MWISHO MIKONO YENU IMEJAA DAMU ALAFU UTASHANGAA HEE MUNGU! MUNGU? WEWE NDIO LIUAJI LIKUBWA, NGEDERE KABISA.
ReplyDeleteUshauri wa bure Bwana Chahali iwapo ni administrator wa hii blog, kwa wakati huu tungeshauri hakuna sababu ya kuweka maoni ya huyo chizi Laiza kwenye hii blog.
ReplyDeleteMimi naamini unapoweka maoni yake hapa unafanya hivyo ili sisi tufahamu tunazungukwa na watu namna gani!!na kwamba tuna watu wajinga kiasi gani kwenye hii vita kupinga na kuondoa ufisadi.
Angalia haya maoni hivi sasa yanalenga katika kujibu na kumwelezea huyu Laiza fisadi uchwara badala kupambana na mafisa Papa. Kimsingi tutapofanikikiwa kuwashughulikia kikamililifu Mafisadi papa. Hawa mafisadi uchwara kama huyu Laiza watatokomea gizani wenyewe.
Tuachane na huyu Laiza kumjibu chochote kwa sasa