8 Oct 2010

Katika toleo la wiki hii la jarida la Raia Mwema nazungumzia kuhusu tuzo ya milenia,msaada tuliopewa na Waingereza baada ya kuridhishwa kwao na "nidhamu na matumizi yetu" na sifa alizomwaga Obama kuhusu "utawala bora".Cheki makala hiyo hapa bila kusahau makala na habari nyingine motomoto ndani ya jarida hilo maridhawa.

2 comments:

  1. Makala nzuri sana. Ina mantiki na lugha inayotiririka vizuri.

    ReplyDelete
  2. Bwana Chahali tunashukuru kwa maelezo yakinifu yanayohitajika katika Tanzania ya Leo ili watanzania tuliowengi gizani tutambue yanayoendelea duniani kwa uwazi zaidi

    ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.

Podcast

Chaneli Ya YouTube