19 Nov 2011


Kupitiwa, Uzembe au Ufisadi wa Kitaaluma (ya uandishi wa habari)?Leo ni Jumamosi ya tarehe 19 Novemba 2011 lakini tovuti ya Tanzania Daima ina habari za Jumatatu ya tarehe 11 April 2011,zaidi ya miezi saba iliyopita.Hii ni aibu kubwa kwa gazeti ambalo limejipatia umaarufu kwa kukemea ubabaishaji,uzembe na ufisadi...

HOVYOO!!!

2 comments:

  1. Ni full vioja, nimeitembelea mara kadhaa nakuta kurasa hiyo hiyo, nikadhani labda wamevamiwa na hackers, lakini kama sivyo bali ni maamuzi yao kuweka ujumbe wa miezi sita iliyopita, huu si ufisadi bali UJAMBAZI WA KITAALUMA.

    ReplyDelete
  2. Tembelea wesites za taasisi mbalimbali uone. Hapo ndio utakamilisha uelewa wako wa matumizi yetu ya mitandao

    ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.