5 Oct 2015TAHADHARI YA PICHA YA MAITI: Mwili wa marehemu baada ya 'ajali.' Je nani aliyepiga picha hii na kuisambaza? Je lengo lilikuwa 'ushahidi kuwa amekufa kweli?'

Kumepatikana waraka ambao unadaiwa kuwa ndio uliopelekea kifo cha Mchungaji Mtikila. Awali, nilibandika maswali kadhaa kuhusu utata unaozunguka kifo hicho kiasi cha kuhisi huenda si 'Mapenzi ya Mungu' bali ni 'mkono wa mtu.' Katika waraka huo hapa chini, ukurasa wa 2,4 na 6 hazipo (sijui kwa nini)


UPDATE: Nimekutana na clip yenye sehemu ya mahojiano na Mchungaji Mtikila, akibainisha kuhusu tuhuma hizo zilizo kwenye waraka huo hapo juu 0 comments:

Post a Comment

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.