Showing posts with label Sintah. Show all posts
Showing posts with label Sintah. Show all posts

7 Jun 2016

Heri ya siku yako ya kuzaliwa, dear Sintah. Mwenyezi Mungu akujaalie kila la heri na baraka katika maisha yako. Asante sana kwa kuwa ndugu mwema. Siku zote umekuwa kama ndugu uliyezaliwa tumbo moja nami. Siku yako ya kuzaliwa imeangukia wakati mwafaka, mwanzo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, na kwahiyo naomba pia kukutakia Ramadhan Kareem.

1 Oct 2014


Big up ndugu yangu mpendwa Sintah, a true definition of beauty and brain. Wanasema eduaction is sexy but being more educated is even sexier. 

Napenda kukupongeza sana ndugu yangu kwa kuanza kozi yako ya Postgraduate Diploma in Management of Foreign Relations. Hiyo ni on top ya Shahada yako ya Kwanza (Bachelor of Arts in Public Administration and Management) na Shahada ya Uzamili (Masters of Arts in International Relations and Diplomacy) ulizonazo. 
Ninaamini vipaji kadhaa ulivyonavyo ukichanganya na elimu yako ya kiwango cha juu vinakufanya uwe role model kwa wengi.

Keep it up ndugu yangu, sky is the limit and the world is all yours for grabbing kwani ninaamini muda si mrefu tutakuskia ukituwakilisha katika medani za diplomasia kimataifa. 

Keep it up, Sintah, I am so proud of you!

Nakutakia kila la heri na baraka.

2 Apr 2014

 
 
Habari Njema kwa wadauzii wangu na pia wateja kwa ujumla, tunayo furaha kuwaambia tumehama sehemu tuliyokuwa awali, na kwa sasa tupo Msasani road opp NMB Branch, hii yote ni kukushukuru weye unaye tu support katika shughuli zetu ndio maana tumefika hapa tulipo 

Kwahio kuanzia leo 2nd April 2014 hatutakuwepo tena Sinza, tunapatikana Msasani road opp NMB Bank, na duka linafunguliwa rasmi jumamosi hii, tupo katika marekebisho ya hapa na pale, nawashukuru sana tena sana wadau wa hii blog kwa kunitangaza hukooo, 

wadau wangu wa mikoani pamoja na hapa kitovu cha Nchi Dsm city, kama unakwama sehemu kindly call me  0652 112071 ila ni kwa kibiashara tuuuu, umbea na story za hapa na pale mwiko we busy making money.......

mzigo mpya umewasili na kipindi cha toba kinaisha njoo uanze ku shop na swagga tamu za harusi, accesories, shoes nk 

Ukifika NMB kwa upande wako mwingine wa barabara, utaona bango kubwa limeandikwa Sintah's Wedding Lounge ndipo tulipo

mwambie na rafiki mwambie na yule 

Mungu ni Mwema sana 

1 Nov 2013


tuna vibanio tofauti ,cheni etc
sexy Sintah


Usimuudhi Padre/Mchungaji
vikoti vinApatikana

hili gauni kwa mtu mwembamba 
linakuhusuuu

Wajawazito sasa mmepata
solution hasa kama magauni haya

Kwa wale wanaoficha ficha ujauzito
humu unaingia na halionekani
lolest

Come n shop wit us
Happy pipooo

Tuna different sizes za Veil
fupi, size ya kati na ndefuu kabisa


Usimuudhi Padre narudia tena njoo
ujipatie kikoti chako mapema
vipo aina tofauti

Kwa mtu mwembamba kidogo
linakuhusu hili eeeh 

Umeona hio veil ilivyo ndefu hio ni
size ya kati tuna ndefu mpaka chini
kwa wale wasiopenda magauni ya mikia
inawahusu
pendeza mtoto wa kike huwa
haijirudii
usisahau ku smile
karibuniiii

Lovies mambo mapya yameingia njoo ujipatie Size yako wewe  mjamzito, mtu mnene maana watoto wa Dar sasa hivi sijui mnalishwa nini mnafutuka tu usijali size yako ipo, bila kusahau portables easy to carry, pia utapata accessories aina tofauti, viatu na pia veil za kila size kwaajili ya siku yako hiyo maalumu usihangaike kwenda sehemu nyingine karibu ukaribie Sintah's wedding lounge.
 For more info call 0652 112071

From C.E.O Sintah10 Jul 2013

Miss EA 2013 Joselyne 
close up pic
gauni na min'gaoooo
kwa nyuma 
Missa babyyy
ona lilivyo mkaaa
simpleee Dress
kwa wasiopenda
complication
kwa karibu zaidii

kwa nyuma 
Nadia
available
sintah's wedding lounge

kwa nyuma Nadia
Missa n CEO
CEO Sinta back stage aikawa nafanya
interview na Mnet


Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.