Ukumbi maarufu wa mtandao (web forum) kwa Watanzania,JAMBOFORUMS,hauko hewani.Kwa mujibu wa taarifa kutoka KLH NEWS,wanachama wawili wa Jamboforums walikuwa wakishikiliwa na polisi kwa tuhuma zinazoashiria kuhusishwa na ushiriki wao kwenye Ukumbi huo.Kwa habari zaidi,soma HAPA na HAPA
Showing posts with label WEBFORUMS. Show all posts
Showing posts with label WEBFORUMS. Show all posts
20 Feb 2008
Subscribe to:
Posts (Atom)